Page 10 - seven (1)
P. 10
Sehemu/ Mambo muhimu ya kuzingatia
1. Anwani moja ya mwandishi- upande wa kulia juu.
2. Kianzio – kwa nani?
3. Utangulizi – kujuliana hali.
4. Mwili – kiini au sababu ya kauandika barua yako. Hoja zisiwe chini ya
hoja sita kuu.
5. Tamati/ Hitimisho – maagano, kuomba barua ya majibu, tuma salamu,
mtakie kheri,.
6. Wasaalam – wako wa jua na mvua…… ushauri. Usitumie wako
mwaminifu au mtiifu.
Swali:
Mwandikie rafiki yako barua ukimwelezea namna ya kutumia likizo yake ili
kujinufaisha.
Idara ya Kiswahili Tender Care Junior Academy

