Page 6 - seven (1)
P. 6
4. Maria amekutananamwalimu wake.
Chaguasalamuatakazotumiakumsabahi. (alamsiki, shikamoo, niaje,
hujambo)
Tumialugha ya adabunaheshimabadala ya iliyotumika.
5. Endachoo –
6. Dadanguamaezaa –
7. Mzee yule wa kijijiamekufa-
8. Ukilavyakulavichafuutaendeshamno-
9. Tamko la kuombanjia ni__________
10. “Hewala” ni tamkoamabalohuonyesha __ na jambo. (kusifia,
kukubaliana, kukataa. Kushangaa)
Misemo
Hayanimanenoyanayotumiwakimafumboilikuelezeajambo Fulani
bilahasakuzingatiamaanahalisi ya manenoyaliyotumiwa.
Zoezi
Andikamaana ya semi zifuatazo:
1. Chana mbuga
2. Tiwambaroni
3. Uma kidole
4. Kula mwata
5. Kula mwande
KIPINDI CHA PILI: KUSOMA -
Rejeleakitabu cha TRAIL BLAZER kufanyazoezi la leo:
Kitabu : TRAIL BALZER ENCYCLOPAEDIA
Ukurasa: 476 -477
Ufahamuwa kwanza: maswali 31 hadi 40
JUMA LA PILI
KIPINDI CHA KWANZA: SARUFI
Kivumishi cha a-unganifu
Idara ya Kiswahili Tender Care Junior Academy

