Page 7 - seven (1)
P. 7

Mfano: kitichamwanafunzi.


               Mlangowa darasa.

               Zoezi

                    1.  Moto ……. Kuni

                    2.  Migodi____ dhahabu.
                    3.  Maskanini …… wazaziwangu.
                    4.  Wino ….mwalimu.
                    5.  Huruma ….. mama.


               Kivumishikimilikishi

                   1.  Kofia____ imeanguka. (-ake)
                   2.  Rununu ___ hunipendeza. (-ao)

                   3.  Moyo _____ unauma. ( -angu)
                   4.  Fizi ___ zinauma. (-enu)
                   5.  Usafi __unafurahisha. (-ako)


               Kosoasentensihizikwakutumiaamba-

               Mfano: Kalamuyenyeinaandika – Kalamuamabyoinaandika.

                   1.  Mahalipenyepanalimwa.

                   2.  Vitabuvyenyevinaandikwa.
                   3.  Majiyeneyyanamwagika.
                   4.  Ujiwenyeunanywewa.

                   5.  Chakulachenyekinaliwa.
                   6.  Kituchenyeunakipenda.
                   7.  Semavyenyeunataka.
                   8.  Mwenyeananiita.

                   9.  Motto mwenye Analia.
                   10. Mitiyenyeinapandwa.




               KIPINDI CHA PILI: MSAMIATI

               Msamiati

               Malipo


                   1.  Malipo kwa hasara anayopata mtu huitwa____.
                   2.  Ridhaa ni malipo ya kumharibia mtu __( bidhaa, jina, mali, nyumba)




                                                                    Idara ya Kiswahili Tender Care Junior Academy
   2   3   4   5   6   7   8   9   10   11