Page 9 - seven (1)
P. 9

Mambo muhimu ya kuzingatia


                   1.  Utangulizi wa kuvutia.
                   2.  Mwili wneye maudhui mazito.

                   3.  Aya zenye aya toshelevu.
                   4.  Mapambo anuwai.
                   5.  Lugha komavu ya mwanafunzi wa kiwango cha darasa lako.

                   6.  urefu unaohitajika na hati ya kuvutia. Kazi iwe safi.
                   7.  Urefu usipungue ukurasa mmoja unusu.


               Swali:

               Malizia insha yako kwa maneno yafuatayo:


               ……….. niliona na kuthamini umuhimu wa kuwa na rafiki wa kweli.






               KIPINDI CHA PILI: JARIBIO LA MTIHANI

               Rejelea kitabu cha TRAIL BLAZER kuifanya kazi ya leo.

               Kitabu: TRAIL BLAZER ENCYCLOPAEDIA


               KAZI: JARIBIO LA TATU (3)

               Ukurasa:  478 HADI 481

               MAAGIZO: Lifanye zoezi hili kwa kujibu maswali kwa ABCD.






               JUMA LA NNE

               KIPINDI CHA KWANZA: ZOEZI LA MASWALI MSETO




               TRAIL BLAZER: Jaribio la 4 ukurasa wa 471. Maswali namabri 1 hadi 20




               KIPINDI CHA PILI: KUANDIKA

               BARUA YA KIRAFIKI




                                                                    Idara ya Kiswahili Tender Care Junior Academy
   4   5   6   7   8   9   10   11